Skip to main content

WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA MAZAO YA NYUKI



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua vifaa vya kukamu asali baada ya kufungua maonyesho ya mazao ya asali kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dae sa salaam Oktoba 5, 2012 kulia kwake ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kifurahia asali wakati alipotembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema  baada ya kufungua maonyesho ya kwanza ya Kitaifa ya mazao ya nyuki kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Octoba 5, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI