WAREMBO REDDS MISS TANZANIA 2012 WAMTEMBELEA LOWASA MONDULI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowasa akisalimiana na Mrembo wa mkoa wa Rukwa ambaye anaiwakilisha kanda ya Kaskazini, Vency Edward. Warembo wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 walimtembelea nyumbani kwake eneo la Ngarash mjini Monduli, mkoani Arusha.

