UJERUMANI YAIMWAGIA TANZANIA BILIONI 352
Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Kluas Peter Brandes (kulia) wakisaini mkataba wa msaada wa miaka mitatu juzi mjini Dar es salaam ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.
Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes (kulia) wakibadilishana hati za makubaliano ya mkataba wa msaada wa miaka mitatu mjini Dar es salaam ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.
Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) akisoma hotuba mara baada ya kusaini hati ya makubaliano na Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes (kulia) ya mkataba wa msaada wa miaka mitatu ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.
Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) na Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes (kulia) wapongezana mara baada ya pande mbili kumaliza kusaini mkataba wa msaada wa miaka mitatu ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.
Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes (kulia) akitoa hotuba mara baada ya kusaini hati ya makubaliano ya mkataba wa msaada wa miaka mitatu ambapo Ujerumani itaipatia Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 352 . Msaada huo utasaidia kuboresha utawala bora katika serikali za mitaa, sekta ya afya , nishati , maliasili, maji, mfuko wa bajeti ya Serikali na kuboresha programu ya usimamizi wa fedha za umma.Kushoto ni Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa.(Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar esalaam).