Skip to main content

MH. PINDA AKIWA JIJINI LONDON



  Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kabla ya kuzungumza na watanzania waishio nchini Uingereza jijini London . Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Peter Kallaghe.
 Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akitazama kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London kuzungumza na Watanzania waishio Uingereza. Kushoto ni mkewe Tunu na kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Peter Kallaghe. 
 
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa na Mtangazaji wa Shirika la Habari la Uingereza BBC Zawadi Machibya (kulia) wakati alipozungumza na Watanzania waishio Uingereza kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB