DK.SHEIN AFUNGA SEMINA YA VIONGOZI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,DK.Ali Mohamed Shein,pia Mwenyekiti wa Semina ya Kuimarisha
Uhusiano Baina ya  Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali
ya Mapinduzi Zanzibar, akibadilishana mawazo na Makamo wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,mara baada ya kuifunga semina hiyo
jana,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort, Nje kidogo ya Mji wa
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Viongozi mbali mbali wakiwa wajumbe wa Semina ya
Kuimarisha Uhusiano Baina ya  Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakitoka nje ya ukumbi wa mkutano baada
ya kumaliza kwa mkutano huo jana,Zanzibar Beach Resort, Nje kidogo ya
Mji wa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB