WAKAZI WA MBEYA WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2012 VIWANJA VYA SOKOINE MKOANI HUMO.


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Linah akiimba kwa hisia jukwaani  ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012 kwenye uwanja wa Sokoine,Mkoani Mbeya.

 Wasanii wa Filamu hapa nchini Aunt Ezekiel,Wema pamoja na Shilole wakiwasikiliza mashabiki wao wanataka nini.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Diamond akiwaimbisha mashabiki na wapenzi wa muziki huo waliojitokeza kwa wingi  kwenye tamasha la Serengeti Fiesta,kwenye uwanja wa Sokoine,mkoani Mbeya
Msanii wa bongofleva kutoka THT,Barnaba akiwaimbisha mashabiki wake kwenye tamasha la serengeti fiesta 2012 ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
Msanii wa bongofleva Ben Paul akikamua vilivyo jukwaani.

Recho kutoka THT akitumbuiza jukwaani  ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012.


Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB