Serengeti Fiesta 2012 Iringa funika mbaya!!!
Bongo movie wakiwa jukwaani
Shilole akiserebuka
Aunt Ezekiel we acha tu
Ray huyoooo akikamua
Wema nae aliimba za Diamond
Diamond akikamua jukwaani
Sheta akimchezesha Diamond
Msanii funga kazi wa Hip Hop, Roma Mkatoliki akikamua jukwaani kwa staili yake ya kidole cha mwisho juu, Tamasha la Serengeti Fiesta 2012, ndani ya uwanja wa Samora mjini Iringa.
Msanii wa Kizazi kipya Ben Paul akifanya makamuzi yake ndani ya Uwanja wa Samora mjini Iringa katika tamasha la Serengeti Fiesta 2012
Linah akiimba mbele ya mashabiki wake ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012 mjini Iringa
Nimakamuzi ya kiutu uzima kutoka kwa Linah ambaye pia ni zao la THT.
Mkali Stamina nae akifanya makamuzi jukwaani katika show kali ya Serengeti Fiesta Iringa usiku wa Septemba 23/24 uwanja wa Samora
DJ PQ akifanya makamuzi yake stegini
Mwanadada Linah akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa Clouds TV, Nickson ambaye anawika katika Kipindi chake cha Weekend Chart Show!
Hapa wakazi wa Iringa wakimwangalia Tausi, mwana dada ambaye naweza kusema ni mfupi kuliko wote ambao nimekwisha wahi kuwaona maishani mwangu.
Mkali Lenex akifanya vitu vyake jukwaani, hakika Serengeti Fiesta Iringa ni Bhaaaaass!!
Ni mkali mwingine kutoka jijini Mwanza kupitia shindano la Serengeti Supa Nyota 2012, Young KIller akikamua vilivyo mbele ya wakazi wa mji wa Iringa ndani ya uwanja wa samora.
Ni mkali mwingine kutoka Morogoro kupitia shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,Jo Maker akikamua vilivyo mbele ya wakazi wa mji wa Iringa ndani ya uwanja wa samora.
Mmoja wa wasanii chipukizi aliyeibukia kwenye shindano la Serengeti Supa Nyota 2012,kutoka Mkoani Mbeya aitwaye Ney Lee pichani akionesha kipaji chake cha kuimba jukwaani usiku wa Jumapili kwenye uwanja wa Samora,mkoani Iringa.