PINDA AFUNGUA MAABARA‏-GEITA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la maabara la Shule ya Sekondari ya Nyang'hwale akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita Septemba 9,2012. Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa huo Magalula Magalula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB