Skip to main content

DKT. SLAA, ARCADO NTAGAZWA NA WANANCHI WAHANI MSIBA WA DAUDI MWANGOSI.


Mti huu ni kwa ajili ya kumbukumbu ya Daudi Mwangosi kututoka kimwili lakini angali nasi kiroho hadi tutakapoungana naye tena.
Nyumbani kwa marehemu Daudi Mwangosi, TRM, Mtwivila, Iringa.
Itika Mwangosi, mkewe marehemu Daudi Mwangosi. Marehemu Daudi ameacha mke na watoto wanne, wa mwisho ana umri wa miaka miwili.
Mwana wa Daudi Mwangosi akimkumbatia Dkt. Wilbrod Slaa. Anayeangalia kulia ni Ndg. Arcado Ntagazwa.
Picha zote ni kutoka  MjengwaBlog.com

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB