Viwavi wanavyotishia kilimo cha mahindi Kenya

Viwavi vikishambulia mazao




Kenya na Rwanda ni mataifa ambayo hivi karibuni yamevamiwa na viwavi ambao
tayari vimeharibu mimea ya mahindi Kusini na Mashariki mwa Afrika.

Viwavi hao wametatiza wakulima sana kwa sababu kemikali zinazotumiwa kuwaua
haziwaathiri viwavi hao.

Wakulima Magharibi mwa Kenya wana wasiwasi mwingi kwa sababu wadudu hao
wanaendelea kusambaa kwa kasi.




Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB