PAUL MAKONDA AKANUSHA KUMPIGA MZEE WARIOBA NA KULAANI WALIOANZISHA VURUGU

 M1 Katibu wa Uhamasishaji Umoja wa Vijana wa CCM, Paul Makonda akionesha vitu alivyokwenda navyo kwenye mdahalo huo ambavyo ni katiba ya sasa na katiba pendekezwa kwa ajili ya kutumia kujibu hoja mbalimbali wakati wa mdahalo huo
M3Makonda akisisitiza jambo katika mkutano huo ambapo pia aliwaambia kazi kubwa aliyoifanya wakati wa vurugu hizo, ni kumsaidia Warioba kutoka salama pamoja na Mwanasiasa mwenye ulemavu wa macho Amon Mpanju ambaye pia alikuwa anamuokoa ili asipatwe na dhahama hiyo.
M4Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano huo wakimsikiliza kwa makini.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB