RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA RWANDA, AMWAPISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA

D92A8647Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Balozi Eugene Segore Kayihura na kumwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Balozi Ali Iddi Siwa katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Kikwete pia amepokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Norway nchini Tanzania Bibi Hanne Marie Kaarstad.Pichani Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania 8647-Akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Kikwete.Na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Rwanda Ali Idd Siwa 8827 akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro)
D92A8827

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB