Uzinduzi wa Operesheni ‘M4C Pamoja Daima’ Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa na Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa Wazindua Songea,Namtumbo,Mbinga na Mbunge wa Ubungo John Mnyika Azindua Uyui,Tabora Kwa Kutumia Usafiri wa Helikopta Tatu

 Mbunge wa Iringa Mjini Mh Peter Msigwa akiwa mbele ya Moja ya Chopa wanayotumia katika Operesheni Pamoja Daima
 Mwenyekiti wa chadema na mbunge wa hai freeman mbowe akiwasili,nyuma yake ni mbunge wa singida magahribi tundu lissu
 Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa akiwasili Songea kwa helikopta(haipo pichani)nakupokelewa kwa shangwe.
 Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akiwahutubia wakazi wa Songea.
 Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akiwahutubia wakazi wa Namtumbo.
 Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akiwahutubia wakazi wa Mbinga
 Mbunge wa iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akiwahutubia wakazi wa Songea.
Mbunge wa Iringa Mjini Mh Peter Msigwa akiwahutubia wakazi wa Mbinga.
 Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika akiwahutubia wakazi wa Uyui, Tabora katika uzinduzi wa Operesheni Pamoja Daima
Wakazi wa Uyui waliohudhuria katika uzinduzi wa Operesheni Pamoja Daima jana .Picha Zote na Chadema

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB