ZIARA YA DR SLAA TABORA KATIKA PICHA



Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akikabidhi kadi ya chama hicho kwa mmoja wa wakazi wa kijiji cha Ngw'aluzwilo katika Kata ya Lusu jimbo la Nzega, baada ya mkutani wa hadhara kijiji ni hapo jana, akiwa katika ziara yake ya kujenga chama.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa akisalimiana na mbunge wa zamani wa jimbo la Bukene (CCM), Steven Kahumba, baada ya mkutano wa hadhara, uliofanyika Bukene juzi.


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Setendi jana, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kujenga chama

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB