MHE. AMOS MAKALLA AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI WA MICHEZO WANAWAKE BARANI AFRIKA

IMG_3481Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla akiingia ukumbini kwa ajili ya kufungua Kongamano la Viongozi wa Michezo Wanawake Barani Afrika lililofanyika katika Hoteli ya Peacok leo Jijini Dar es Salaam.
IMG_3490Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo,  Profesa Elisante Ole Gabriel (aliyesimama) akimkaribisha Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla (Kulia) wakati wa Kongamano la Viongozi wa Michezo Wanawake lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mfuko wa Anita Foundation Dr. Anita White. 
IMG_3503Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla akifungua Kongamano la Viongozi wa Michezo Wanawake lililofanyika  leo Jijini Dar es Salaam.
IMG_3510Washiriki kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizotolewa katika kongamano hilo leo Jijini Dar es Salaam.
IMG_3556Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars. Wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, anayefuata kushoto ni Mkuu wa Mfuko wa Anita Foundation Dr. Anita White, kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo, na anayefuata kulia ni Mkurugenzi wa Sera, Shirika la Right to Play Afrika Bw.Denis Bright, waliosimama nyuma ni wachezaji wa Twiga Stars ambao pia wameshiriki katika Kongamano la Viongozi wa Michezo Wanawake lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB