RAIS DKT. KIKWETE AZURU WILAYA YA KWIMBA MKOANI MWANZA

IMG_1346Mkuu wa Chuo cha Michezo cha Malya Ndugu Allen Alex akimwelezea rais Jakaya Kikwete ramani ya eneo lote la chuo mara tu baada ya uzinduzi wa uwanja wa ndani wa michezo.IMG_1499IMG_1517Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akiangalia  ngoma za utamaduni wa Kisukuma zilizokuwa zikicheza wakati Rais Jakaya Kikwete alipofika tu uwanjani hapo kwa ajili ya mkutano wa hadhara huko Ngudu tarehe 9.9.2013.
IMG_1526IMG_1531Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wa Ngudu muda mfupi kabla ya kuwahutubia.
IMG_1596IMG_1623Rais Jakaya Kikwete akitawazwa na kusimikwa rasmi kuwa Kamanda  Mkuu wa sungusungu nchini  na Chifu Shimbi Martin Morgan wa wilaya ya Kwimba.Katika sherehe hiyo Rais Kikwete alikabidhiwa kofia nyekundu, mgolole, upinde na mshale pamoja na silaha nyingine za kijadi.
IMG_1645Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa Kwimba huko mjini Ngudu ili kuhitimisha ziara ya ya siku moja wilayani humo tarehe 9.9.2013.  
PICHA NA JOHN LUKUWI 

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB