MKUTANO WA DR SLAA WASHINGTON DC WAFANA


Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa Jumapili Sept 22, 2013 aliongea na Watanzania wa DMV na vitongoji vyake kuhusu mstakabali mzima wa Tanzania, kisiasa, kiuchumi na huku akigusia mali asili na utalii, kusafirishwa kwa wanyama nje ya nchi kinyemela.

 Mwenyekiti wa CHADEMA DMV, Bwn. Kalley Pandukizi akizungumuza na kueleza historia ya tawi la CHADEMA DMV lilivyoanzishwa kabla ya kumkaribisha katibu wa tawi DMV, Bwn. Liberatus Mwang'ombe.

 Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa katika picha ya pamoja na Katibu wa CHADEMA DMV Bwn. Liberatus Mwang'ombe.

Bi. Josephine Mshumbuzi akiongea na wanaDMV kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Leticia Nyerere.


Mama Leticia Nyerere akipeana Mkono na Mchungaji Materu katika Mkutano wa Chadema DMV uliohutubiwa na Dr Slaa


Pichani ni baadhi ya Wakazi wa Washington DC (DMV) Waliojitokeza kumsikiliza Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa.








Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB