SIMANZI,BAADA YA HADIJA KOPA KUSIKIA MME WAKE KAFARIKI HALI IKAWA HIVI


Khadija Kopa akilia kwa uchungu hata kushindwa kutembea mwenyewe.
Dah sina hata la kusema. Pole sana mama Mwenyezi Mungu akutie Nguvu katika kipindi hiki kigumu
Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa. Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
Picha kwa hisani ya zeddyblog

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB