RAIS DKT. SHEIN ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA KIHISTORIA YA DR.SUN YAT-SEN’S KATKA MJI WA NANJING CHINA

IMG_2349
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakisalimiana Waongoza Wahusika wa FAya Dr.Sun Yat-sen’walipofika na ujumbe wake kupata historia ya makumbusho hayo huko Nje ya Mji wa Nanjing,katika Jimbi la Jiangsu nchini China,wakiwa katika ziara ya Kiserikali jana. [Picha na Ramadhan Othman,Nanjing China.]IMG_2371
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiuliza jambo akiwa na Ujumbe wake wakati walipotembelea  Makumbusho ya Kihistoria ya Dr.Sun Yat-sen’s yaliyopo Nje ya Mji wa Nanjing,katika Jimbo la Jiangsu nchini China,wakiwa katika ziara ya Kiserikali jana. [Picha na Ramadhan Othman,Nanjing China.]
IMG_2381
Baadhi ya Wananchi wa Mitaa mbali mbali katika mji wa Nanjing hufika kutembelea sehemu ya Makumbusho ya  kihistoria pamoja na Watalii kutoka nje ya mji huo,kuangalia mandhari yakupendeza na  kupanda mlima wa kihistoria wa Dr,Sua Yat-sen’s,katika Jimbo la Jiangsu.{Picha na Ramadhan Othman,Nanjing China.}IMG_2437
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Nje,Hong Chengzong,mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege  katika Mji wa Xiamen,nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China jana.[Picha na Ramadhan Othman,Xiamen China.]IMG_2443
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Nje,Hong Chengzong,mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege  katika Mji wa Xiamen,nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China jana.[Picha na Ramadhan Othman,Xiamen China.]

Popular posts from this blog

MH. AMANI ABEID KARUME AFUNGUA SKULI YA DONGE ZANZIBAR