ALICE ISACK ASHINDA REDD'S MISS DAR CITY CENTER 2013



Mshindi wa Redd's Dar City Center 2013, Alice Isack akipozi kwa picha mara baada ya kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam

 Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto) katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam

 Warembo waliofanikiwa kuingia katika hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.
 Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (kulia) akiwauliza maswali warembo walioingia 5 bora.
 Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto) katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar Es Salaam. Mkoni ni moja ya zawadi zao.
 Redd's Miss Tanzania 2012 pamoja na Mshindi wa Taji la Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu wakifuatilia shindano hilo. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Ramesh Patel.
 Mwigizaji na Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu (katikati) akifuatilia shindano hilo 
 Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro akifuatilia kwa umakini shindano la Redd's Miss Dar City Centre jijini Dar Es Salaam jana usiku.

 Burudani kali ilitolewa jukwaani
Wadau wa sanaa ya urembo wakifuatilia shindano hilo.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB