ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN MJINI MAGHARIBI



 Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi na wazee wa Chumbuni  Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi, alipofungua kituo cha Mafunzo ya Kazi za Amali,akiwa katika ziara Mkoa huo,(kulia) Naibu waziri wa Ulinzi Perera Ame Silima,na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Abadallah Mwinyi Khamis,na (kushoto)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame 
 Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya kituo cha kituo cha Mafunzo ya Kazi za Amali,Chumbuni Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi, kutoka kwa Katibu wa Chuo Iddi Sheha Makame,alipokizindua kituo hicho akiwa katika ziara Mkoa huo
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Hassan Ali Mbarouk,(kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipotembelea kituo kipya cha Umeme huko Welezo alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB