YANGA YAICHAPA TOTO AFRICA 1 - 0



 Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete (kulia) akimtoka beki wa Toto Africa, Robert Magandula, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,leo. Katika mchezo huo Yanga imeibuka na ushindi wa bao 1-0, bao lililofungwa na Mshambuliaji Nizar Khalfan, aliyeingia kuchukua nafasi ya Jerry Tegete, akitokea benchi katika dakika ya 78. 
 Hamis Kiiza (katikati) akiwania mpira na mchezaji wa Toto, Mussa Mussa, wakati wa mchezo huo.
 Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima, akichuana kuwania mpira na Emmanuel Swita, wa Toto, wakati wa mchezo huo.
Hamis Kiiza, akiwania mpira na kipa wa Toto, Eric Ngwege, wakati wa mchezo huo.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB