MWENDESHA MSHTAKA MKUU WA MAHAKAMA YA KIMATAIFA (ICC) BIBI FATOU BENSOUDA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU DAR ES SALAAM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mwendesha Mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa(ICC) Bibi Fatou Bensouda ikulu jijini Dar es Salaam.Baadaye Rais kikwete alifanya mazungumzo na Bibi Bensouda.