MKUTANO MKUBWA WA UVCCM ULIVYOFANYIKA JANA MKOANI MOROGORO



Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigela akihutubia kwenye mkutano huo
Mmoja wa vijana machachari aliyehama hivi karibuni kutoka Chadema, Mtela Mwampamba akihutubia kwenye mkutano huo.
“Vijana Chadema wanawazingua tu, wanawahamasisha kufanya maandamano ili wawapige picha za kwenda kuonyesha  nchi za nje kwa mafariki zao kwa ajili ya kupatiwa mamilioni ya fedha”, anasema Mwampamba kwenye mkutano huo. Kulia ni Mkuu wa Utawala Makao Makuu ya UVCCM Kaka Mpokwa.
Kama Mwampamba, Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) Taifa, Juliana Shonza, ambaye amehamia CCM hivi karibuni, akibebwa na vijana wa UVCCM, baada ya ‘kuimwagia razi’ Chadema jukwaani kwenye mkutano huo.
Mbunge wa Morogoro, Abdulaziz Mohamed Abood akiongoza msafara wa pikipiki kwenda kwenye mkutano huo
Vijana wakiserebuka kwa nyimbo za hamasa kwenye mkutano huo

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB