MARY RUTTA WA MANYARA ATWAA TAJI LA MISS UTALII TALENT 2013



                 Mary na warembo wenzake wakishangilia ushindi huo.

                   Mary Chrisostom Rutta, kutoka Mkoa wa Manyara (katikati) akifurahi baada ya kutangazwa mshindi. Kushoto ni Jamia Abdul (Kagera) na Joan John kutoka Lindi ambao waliingia tatu bora.

              Warembo wakionesha vipaji kwa kucheza ngoma za asili.

Wakionesha vazi la ubunifu.
                 Msanii wa ngoma za asili kutoka Bagamoyo, Chemundu Gwao, akicheza na warembo hao.


Mwakilishi wa Kagera, Jamia Abdul, akicheza ngoma ya Kihaya.

                Mikogo pia ilipewa nafasi yake mbele ya meza kuu.

                 Rais wa Miss Utalii Tanzania na Jaji Mkuu wa kinyang’anyiro hicho, Gideon Chipungahero ‘Chipss’ (kulia) na majaji wenzake wakikusanya pointi.

                  Meya wa Manispaa ya Temeke, Maabad Hoja, akimvisha Sasha mrembo huyo baada ya kutangazwa mshindi.
                          DJ Max (kulia) na Mc Adria Cleophace walifanya kazi kubwa ya kunogesha tukio hilo.MREMBO Mary Rutta kutoka Mkoa wa Manyara jana usiku aliwabwaga warembo wenzake 26 katika kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa Miss Utalii mwenye kipaji. Kinyang’anyiro hicho kilifanyika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live.(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB