TAIFA STARS YAICHAPA CAMEROON GOLI 1-0



2Mchezaji wa timu ya taifa ya Cameroon  Assou Ekotto  akimtoka mshabuliaji wa timu ya Taifa Stars katika mchezo wa Kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa leo Taifa Stars ikiibugiza timu ya Cameroon Goli 1-0  na kutoka uwanjani kifua mbele.
6Mchezaji wa timu ya Taifa Stars Salum Abubakar akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Cameroon Makoun Thierry katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni ya leo.
1Mashabiki mbalimbali wa timu ya Taifa Stars wakishuhudia mchezo huo ambapo Taifa Stars imeifunga Cameroon Goli 1-0.
3Wachezaji wa Taifa Stars wakishangilia mara baada ya  Taifa Stars kujipatia goli lake la kwanza na la mwisho lililofungwa na mchezaji Mbwana Samata.
4Ubao wa Matangazo ukionyesha matokeo ya mchezo huo.
5Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB