Siku za Mwisho za uhai wake Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati Thomas Leizer Alikutana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema




Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(CHADEMA), Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless 
Lema akibadilishana mawazo na Marehemu Thomas Leizer
Hapa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati Thomas Leizer, 
katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa chumba cha uangalizi maalum 
(ICU). Pamoja naye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(CHADEMA), Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless 
Lema. Picha hii ilipigwa Jumapili ya wiki iliyopita, ambapo viongozi hao
walifika kumjulia hali kiongozi huyo wa kidini aliyefariki jana mchana,
baada ya kuugua kwa kuda mrefu na kulazwa katika Hospitali ya Selian 
Hospital Arusha Centre.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB