MAANDAMANO YA CHADEMA DAR



Viongozi wa CHADEMA wakiongoza maandamano kuelekea Temeke
Mhe. Tundu Lissu akiongea na wanaChadema Temeke Leo Jumapili Feb 10, 2013 baada ya kuwapokea wabunge wao Ubungo na kufanya nao maandamano hadi Temeke na Wabunge wa chama hicho kuwajuza yaliyojili Bungeni Dodoma wakiwatuhumu Spina na Naibu wake kukipendelea chama tawala
Mb. John Mnyika naye akihutubia Wafuasi wa CHADEMA, Temeke leo Jumampili Feb 10, 2013 baada ya wanachama hao kuwapokea Wabunge wao tokea Ubungo na kufanya nao maandamano hadi Temeke
Mb. Godbless Lema nae akihutubia huku akisema dhambi kubwa kuliko yote ni uoga
Viongozi wa CHADEMA wakiwa meza kuu
Mb. Peter Msigwa nae akihutubia wafuasi wa CHADEMA Temeke leo Jumapili Feb 10, 2013
Dkt. Wilboard Slaa akiwasalimia wana Chadema waliofika kwenye mkutano huo
Wafuasi wa CHADEMA wakiwa kwenye maandamano kuelekea Temake
kwa picha zaidi bofya read more
CHADEMA Family nao katika maandamano
Askari wa Usalama barabarani akilizuia gari kwa ajili ya kupisha maandamano




Mb. Halima Mbee

Kwa hisani ya Vijimambo Blog

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI