RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA UGANDA, AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA, AZUNGUMZA NA RAIS MSTAAFU WA KOSOVO





Rais Jakaya Kikwete akiwa katik mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Rais Mstaafu wa Kosovo Mhe Behgjet Isa Pacolli   leo  Desemba 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Uganda aliyemaliza muda wake wa kazi hapa nchini Mhe Ibrahim Mukiibi  alipofika kuaga leo  Desemba 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwakilishi wa Benki ya Dunia katika nchi za Tanzania, Burundi na Uganda, Bw. Phillipe Dongier, mara bada ya maongezi yao leo Desemba 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI