SHEREHE ZA MAPOKEZI YA M/KITI NA SEKRETARIETI MPYA YA CHAMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akiingia katika viwanja vya mnazi mmoja.

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akivalishwa skafu na kiongozi wa Chipukizi wa Mkoa wa Dar es salaam.

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa na sura za furaha na bashasha katika sherehe hizo za mapokezi.





Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI