RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA IRAN NA CANADA, AONANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS ALI BONGO WA GABON


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre Leveque leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre Leveque leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre Leveque baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Ali Bongo wa Gabon uliowasilishwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Maalumu wa Uwekezaji wa nchi hiyo Bw. Serge Mickoto leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Ali Bongo wa Gabon leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam uliowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Maalumu wa Uwekezaji wa nchi hiyo Bw. Serge Mickoto leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.PICHA NA IKULU.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB