RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO WA MAJAJI ARUSHA LEO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala ya Waheshimiwa majaji toka kwa muwakilishi wao, Jaji Dkt Fauz Twalib, wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Novemba 16, 2012
Rais Jakaya Kikwete akikufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Novemba 16, 2012
Rais Jakaya Kikwete akikufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Novemba 16, 2012.Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Nhe. Magesa Mulongo Jaji Mkuu  Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa Sheria Mhe Mathias Chikawe, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi Mhe Fakih Jundu
( PICHA NA IKULU)
Waheshimiwa majaji wakimsikilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani) wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Novemba 16, 2012.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB