Lowassa, Kinana washambulia Arusha







Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amr Abeid, baada ya kuvalishwa mavazi ya heshima ya moja ya makabila ya mkoa wa Arusha.


Baadhi ya wananchi wakipigapicha kwa kutumia kamera na simu zao ili kupata kumbukumbu ya matukio mbalimbali wakati wa mkutano huo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Khamis Sadifa Juma. akizungumza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Aliyekuwa diwani wa Chadema, Rehema Mohammed ambaye amehamia CCM, akibubujikwa machozi jukwaani wakati akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo.


Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo.


 Ndugu Nape Nnauye akizungumza jambo na Ndugu Edward  Lowassa kwenye mkutano wa Ndugu  Kinana uliofanyika Usa River, Arusha

 Katibu wa CCM Ndugu Abdulrahman  Kinana akisalimiana na Ndugu Edward Lowassa. Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto ni Ktb wa CCM Arusha,  Ndugu Mary Chatanda
 Kinana akiwa na zana za jadi alizokabidhiwa kwa heshima yake na wazee wa Meru, katika Mkutano wa CCM uliofanyika Usa River, Arusha leo
 Mzee Wilson Meng'atu akimvisha vazi la heshima Nape Nnauye kama ishara ya wazee wa Kimeru kutambua upambanaji wake katika kujenga Chama, wakati wa mkutano wa Usa River, Arusha leo
 Wazee wa Kimeru wakimvisha jazi la jadi, katibu wa NEC Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatib kumpongeza kushika nafasi hiyo ya kujenga uhai wa Chama, kwenye mkutano wa CCM Usa River, Arusha
  Wazee wa Kimeru wakimvisha Mzee Steven Wassira vazi la jadi kuheshimu mapambano yake katika ujenzi wa Chama
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye  akisalimiana na Ndugu Edward Lowassa Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto Ktb wa CCM mkoa wa Arusha Ndugu Mary Chatanda.
 Bodaboda  zikiongoza msafara wa Ndugu Kinana, kutoka Uwanja wa Ndege wa Arusha
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu  Kinana akifungua shina la wakereketwa wajasiriamali wa CCM la Nguruma, Arumeru, Arusha leo
 Ngoma wa Kimasai, mkutano wa Meru, Arusha leo.

 Kinana akiwa na zana za jadi alizokabidhiwa kwa heshima yake na wazee wa Meru, katika Mkutano wa CCM uliofanyika Usa River, Arusha jana

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI