Rais Kikwete aifariji familia ya Marehemu Walid Juma





 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji  na kuomba dua pamoja na familia ya  aliyekuwa kamishna wa Ushuru wa Foradha TRA Marehemu Walid Juma nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Walid  amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini dare s Salaam. 
Picha na Freddy Maro

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB