PINDA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MANSOOR DAYA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha moja ya mtambo wa kutengeneza dawa wakati alipotembelea kiwanda  cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals  cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2, 2012. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Mansoor Daya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya (kulia kwake) na familia yake baada ya kutembelea  na kuzungumza  wafanyakazi na waalikwa  wa kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals Limited cha jijijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 Oktoba 2, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua utengenezaji dawa za binadamu wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha  Mansoor Chemicals Limited cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50, Oktoba 2, 2012. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Mansoor Daya.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB