Mh. Lowassa katika uzinduzi wa Maonyesho ya Miaka Kumi ya VOCOBA jijini Dar
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akicheza muziki sambamba
na Wanachama wa VICOBA Tanzania wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya
Biashara ya Miaka Kumi yam Wajasilia Mali wa VICOBA tangu kuanzishwa
kwakwe,iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Mratibu wa Maonyesho ya VICOBA Tanzania,Aldo Mfinde
wakati alipokuwa akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
tayari kwa Uzinduzi rasmi wa maonyesho ya VICOBA Tanzania.Wa pili Kulia
ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga na Kulia ni
Mwenyekiti wa CCM,Wilaya ya Ilala,Mh Assaa Simba.

Mratibu
wa Maonyesho ya VICOBA Tanzania,Aldo Mfinde akizungumza machache wakati
wa hafla ya Uzinduzi wa Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanya biashara
ndogo ndogo na Wajasiliamali
wa VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam.wa Tatu kulia ni Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo,Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.Wengine ni
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga (pili kulia) na
Mwenyekiti wa CCM,Wilaya ya Ilala,Mh Assaa Simba.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia)
akimpongeza Mratibu wa Maonyesho ya VICOBA Tanzania,Aldo Mfinde mara
baada ya kumaliza kuitambulisha Kamati ya VICOBA Tanzania iliokuwepo
viwanjani hapo.

Burudani ya Ngoma za Asili.

Mjumbe
wa Kamati ya VICOBA Tanzania,Bi. Magreth Mapunda akisoma Risala ya
Chama chao hicho mbele ya Mgeni Rasmi,Mh. Edward Lowassa wakati wa hafla
ya Uzinduzi rasmi wa Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanyabiashara ndogo
ndogo na Wajasiliamali
wa VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam
leo.

Mjumbe wa Kamati ya VICOBA Tanzania,Bi. Magreth Mapunda (kushoto) akikabidhi Risala hiyo kwa Mgeni Rasmi,Mh. Edward Lowassa.

Mwenyekiti wa CCM,Wilaya ya Ilala,Mh Assaa Simba akisalimia Wanachama wa VICOBA Tanzania.

Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga akizungumza machache
kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi kuzungumza na Wanachama wa VICOBA.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa
hotuba yake mbele ya wanachama wa VICOBA Tanzania wakati hafla ya
Uzinduzi wa Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanya biashara ndogo ndogo na
Wajasiliamali
wa VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam
leo.Katika Hobuba yake,Mh. Lowassa aliwapongeza wana VICOBA kwa kuweza
kujiajiri,kwani tatizo la ajira nchini bado ni tatizo kubwa na ni bomu
linaweza kulipuka wakati wowote.Maonyesho hayo yataendelea mpaka
jumamosi ijayo Oktoba 27.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto)
akiteta jambo na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akicheza
muziki sambamba na Wanachama wa VICOBA Tanzania wakati wa uzinduzi wa
Maonyesho ya Biashara ya Miaka Kumi yam Wajasilia Mali wa VICOBA tangu
kuanzishwa kwakwe,iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akibonyeza kitufe kwenye kompyuta ikiwa ni ishara ya Uzinduzi rasmi wa
Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanya biashara ndogo ndogo na Wajasiliamali
wa VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam
leo.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwapungia mkono Wanachama wa VICOBA wakati wa kuwaaga mara baada ya
kufanya uzinduzi wa Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanya biashara ndogo
ndogo na Wajasiliamali
wa VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam
leo.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiagana na baadhi ya Wanachama wa VICOBA mara baada ya uzinduzi wa
Maonyesho ya Miaka Kumi ya Wafanya biashara ndogo ndogo na Wajasilia
mali wa VICOBA uliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam
leo.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiagana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga.

Wanachama wa VICOBA wakijiburudisha kwa kucheza Muziki.

Maandamano
ya Wanachama na Wajasiliamali wa VICOBA yakipita Mbele ya Mgeni
Rasmi,ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.
Edward Lowassa.