MAELFU WAJITOKEZA KUMUAGA ALIYEKUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA MAREHEMU BARLOW


Mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow ukiandaliwa kushushwa toka katika gari maalum lililoubeba mwili huo kutoka Hospitali ya rufaa Bugando kwenda nyumbani kwake kisha uwanja wa Nyamagana ambapo ibada ya kuuaga mwili huo imefanyika.






Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu,Bunge, sera na uratibu William Lukuvi akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Liberatus Barlow

Lawrance Masha ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa  (NEC - CCM)  wilaya ya Nyamagana akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC - CCM) wilaya ya Tarime Christopher Gachuma akitoa heshima za mwisho

Popular posts from this blog

TASWIRA: UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CHADEMA KWA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA

RAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI