RAIS JAKAYA KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MELES ZENAWI, ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO, AWEKA SHADA LA MAUA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Waziri MKuu wa
Ethiopia Mhe. Hailemariam Dessalegn jijini Addis Ababa