TAWI LA CCM DMV LAFUNGULIWA KWA KISHINDO

MH. Abdulrahman Kinana akiingia ukumbini uku akiongozana na viongozi wa tawi la CCM hapa DC.

 MH. Abdulrahman Kinana akipiga makofi huku akiingia ukumbuni hapo tayari kwa ufunguzi wa tawi la CCM, watu wengi walijitokeza katika ufunguzi huo na kujipatia kadi za chama chao tawala cha CCM.

 Picha ya pamoja ya viongozi wote wa matawi mengine ya CCM kutoka sehemu tofauti za nje ya DC kama Minnesota kiongozi wake alikuwepo, North Carolina, New York na Texas.
 Meza kuu na ya viongozi wakiwa wametulia kabisa wakisikiliza risala liyokuwa inasomwa ukumbuni hapo
 Loveness mwenyeketi wa tawi la CCM, DMV akiongea maneno mawili matatu kabla ya kumkaribisha mgeni rasm katikia shughuri hizo za ufunguzi wa tawi la CCM.
 MH. Abdulrahman Kinana akiongea baada ya kukaribishwa na mwenyekiti wa tawi la CCM, DMV Loveness.
Wakereketwa wa CCM wakiwa ukumbini
Baadhi ya Viongozi na wakereketwa wa CCM wakipata picha ya pamoja na Mhe. Abdulrahman Kinana kwenye ufunguzi wa Tawi la CCM, DMV.
Wakereketwa wakisakata Rhumba
Mume wa Balozi wa Tanzania Nchini Marekani, Bwana Sharif Maajar (wapili toka kushoto) katika picha ya pamoja na Salma JJ (kushoto) Missy Temeke na Miss Kigoma kutoka Columbus, Ohio (kulia)

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB