Burundi yapata mwakilishi katika shindano la Miss East Africa 2012

Mrembo atakayeiwakilisha  Burundi katika mashindano ya Miss East Africa mwaka huu, Miss Mugisha Nadege (21). Mrembo huyo ana urefu wa futi 5.71 ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha Burundi ambapo anasomea degree ya mawasiliano.




Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB