Usiku Wa Sugu ndani ya Dar Live



Msanii mahiri wa HIP HOP ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Mr II' a.k.a Sugu akitoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya ukumbi wa Dar Live ulipo mbagala zakhem jijini Dar es salaam Jumapili iliyopita.


Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari "dogo janja" akitoa mistari kuupamba usiku wa Sugu ndani ya ukumbi wa Dar Live Jumapili iliyopita.

Popular posts from this blog

RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA HUDUMA POPOTE WA BENKI YA POSTA TANZANIA TPB